Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo.
My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi.
Sio hawa wasanii...
Ijumaa Novemba 22, 2024: Waziri Mkuu aunda Tume maalumu ya watu 21
- Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na...
Mkoa wa Mbeya, kama mikoa mingine nchini, unakabiliwa na changamoto kubwa katika masuala ya uokoaji wa abiria wakati wa ajali.
Hali hii inadhihirisha upungufu wa vifaa vya uokoaji, ambavyo ni muhimu sana ili kuokoa maisha ya watu wanaopatwa na majanga kwenye barabara.
Picha unayoizungumzia...
Salaam
Kumekuwa na tabia za Viongozi wa kiasa nchini kwetu kujiweka mbele sana kwenye majanga kama mafuriko na mengine.
Kwanza, ni matumizi mabaya ya pesa za umma viongozi wengi kujazana sehemu moja ya tukio jambo ambalo kiongozi mmoja anayehuaika anaweza kutangulia kusimamia eneo lake.
Pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.