Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri,
Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
Baada ya kamati kuketi na kuthibitisha pasi na shaka kwamba maamuzi ya mwamuzi dhidi ya Namungo fc hayakuwa sahihi, hivyo kupelekea wao kucheza pungufu na kupoteza mchezo wao, Natarajia viongozi wa Namungo fc waandike barua na kuomba hatua zaidi zichukuliwe kwani ubovu wa maamuzi ya mwamuzi...
Wasalamu!
Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale.
Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali.
Mijadala mtambuka kama ya Kijinsia, kidini, Mila na desturi n..k. ni baadhi ya midajala inayoleta fujo...
Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
Ni jambo la ajabu lakini la kweli.
Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach barua ya maombi ya kazi.
Binti huyu alikua na sifa zote kama kazi ilivotaka na pia system ilimuwezesha...
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.
Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi...
Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo.
Wengine wanasema kwamba akiwa anatoka katika ubalozi...
Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko
Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
Wanabodi
Mimi ni mwalimu wa somo linaloitwa karma humu jukwaani.
Karma ni kuhukumiwa kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako, wazungu wanasema, what goes around, comes around.
Nashauri kama huijui karma, anza bandiko hili kwa kujifunza kuhusu karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu...
Ukiwaacha JWTZ, ni taasisi ipi ya uma raia wa kawaida ana imani kuwa atatendewa haki bila kuinunua?
1. Polisi?
Wengine wanasema kuingia kituo cha Polisi ni bure lakini kutoka ni hela
2. Mahakama?
Malalamiko ni mengi kuwa hata watafsiri Sheria nao baadhi yao si wasafi
3. TRA?
Inasemekana ni...
HESLB Tanzania tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu hawataweza kumpa pesa ya kujikimu
Angejua wanafunzi wanachopitia hata hyo boom haitoshi asingeongea...
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa katika mfumo wetu wa haki. Watu wasio na hatia mara nyingi hufungwa jela, wakati wahalifu wanakimbia...
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.
Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
Habarini Wadau,
Nimesoma habari ya Mzee Ebrahim Yusuph Kazi mzaliwa wa Yemen, huyu Mzee alifungwa miaka ya 1979 na 1986 kwa makosa matano ya kuwaoa na kulala na watoto wenye chini ya miaka 13
Mwaka 2011 akiwa na miaka 67 yeye mwenyewe alikiri kumuoa mtoto wa miaka 8 na kulala nae ila kwa...
Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri.
Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri.
Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
Mtu mmoja mwenye asili ya Masai ameonyesha kuchukizwa na uonevu unaoendelea huko Zanzibar dhidi ya Wamasai.
Akiongea kwenye video Masai huyo amesema "walichofanya polisi ni uonevu kwakuwa hawakuwa na kibali cha kuwakamata wamasai kule Zanzibar".
ANGALIA HAPA VIDEO
Nini maoni yako?
Written...
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.