uonevu kwa abiria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Basi la Kandahar Investment (Arusha-Dodoma) linaishia njiani kama abiria hawajajaa ndani ya basi, Trafiki wanajua na hawachukui hatua

    Muda huu (Julai 1, 2024) nipo safarini natoka Arusha naelekea Dodoma, nilikata tiketi na kupanda katika Basi la Kandahar Investment. Tumefika Manyoni Stendi, wenye basi wakaanza kutulazimisha abiria tushuke wote ndani ya basi wakidai kwamba gari limeharibika. Tulipohoji kipi kilichoharibika...
Back
Top Bottom