Muda huu (Julai 1, 2024) nipo safarini natoka Arusha naelekea Dodoma, nilikata tiketi na kupanda katika Basi la Kandahar Investment.
Tumefika Manyoni Stendi, wenye basi wakaanza kutulazimisha abiria tushuke wote ndani ya basi wakidai kwamba gari limeharibika.
Tulipohoji kipi kilichoharibika...