Binafsi naiheshimu sana serikali pamoja na viongozi wake kuanzia ngazi za chini mpaka kule juu.Serikali za mitaa zinafanya vizuri pamoja na kuwepo kwa changamoto kadha wa kadha. Hali kadhalika serikali kuu inafanya vyema, changamoto zipo tu hata mataifa yaliyoendelea wana changamoto lukuki tu...