"Kiongozi bora ni yule anayehakikisha watu wake wanapata huduma bora" .... John C. Maxwell
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi mwenye maono makubwa kwa Watanzania. Uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji wa...
Na Ahmed Abdulla:
Zanzibar:
Uongozi ni eneo ambalo limekuwa na muamko mkubwa huku suala la usawa wa kijinsia hasa katika nafasi mbali mbali za uongozi likisemwa mara nyingi ,licha ya mafaniko kadhaa yaliyopatikana lakini bado wanawake wanaona kuna viunzi virefu vya kuwafikisha kwenye safari...
Maandiko yatuongoze
Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji.
Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia...
Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa.
Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila ni bahati mbaya sana Taifa lilipo amua kuingia ktk misingi ya siasa za vyama vingi sio kwa chama...
Kati ya vitu ambavyo tutamkumbuka Mwalimu Nyerere ni ule u thinker wake. Mwalimu si tu alikuwa na maono ya kisiasa, lakini kiuongozi alikuwa kama mcheza chess. Mwalimu alikuwa na uwezo wa kufikiria mbele madhara au manufaa ya kile alichokuwa ana panga au kukipigia debe kisiasa.
Na ndio maana...
Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda. Hakika ana mabadiliko makubwa sana na amezungumza kwa weledi. Amejitahidi kuelezea na kuangazia maswala ya kiuchumi na miradi ya maendeleo inayoendelea Arusha kwa Sasa.
Ameongea kiume na kwa haiba ya uongozi na hakika ana...
Maradhi yatokanayo na uoga hutuzalishia ujinga wa fikra.
Ndugu zangu wanaccm na watanzania kwa ujumla ,ninamshukuru kwa baraka zake za kutuwezesha kuiona siku ya leo.
Kumcha Mwenyezi Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa. Nakumbuka mwaka 2019 katika mashindano ya Qur aan Dar es salaam
Rais wetu...
Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake?
Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona
Jumaa Mubarak 😃
Kiongozi Msafi katika Taifa loloe lile kamwe na Daima haijawahi tokea akaongoza Taifa liliojaaa wapigaji wa mali za Umma.
Kule Nigeria inaaminika Gen Sani Abacha kwenye utawala wake kulikuwa na upigani ambao haujawahi fikiwa hadi leo, Kila kiongozi alikuwa anakula kwa urefu wa Kamba yake...
## UChawa na Ulevi wa Madaraka Unavyochangia Kutokuwa na Uongozi Bora kwa Taifa la Tanzania
Uchawa na ulevi wa madaraka ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoathiri uongozi bora katika mataifa mengi ya Afrika, ikiwemo Tanzania. Dhambi hizi mbili zina athari mbaya sana kwa utawala bora na...
Wewe ni kiongozi. Unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo wewe kiongozi kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvitetea, na kuvihifadhi.
Mheshimiwa Rais anasisitiza haki, lakini wewe husikii; umeweka pamba masikioni...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
UONGOZI BORA: KAZI YA MOYO INAYOGUSA ROHO ZA WATU NA KUENDELEZA TAIFA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uongozi bora ni kazi ya moyo inayogusa roho za watu na kuendeleza taifa. Uongozi bora unahitaji kuweka maslahi ya watu na maendeleo ya taifa mbele katika maamuzi na hatua zake. Uongozi bora...
Katika kijiji kidogo cha Arabika, wanakijiji walikabiliwa na ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa viongozi wao. Lakini wakati Imran alipochaguliwa kuwa diwani mpya, alianza kuleta mabadiliko chanya. Alianzisha utawala wa uwazi na uwajibikaji, na kuhimiza wanakijiji kushiriki katika...
UONGOZI BORA HAUHUSIANI NA CHEO, BALI NI KUWAHUDUMIA WENGINE KWA UAMINIFU NA KUJITUMA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uongozi ni jambo muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Kila siku tunakabiliana na uongozi kwenye sehemu mbalimbali za maisha yetu. Kutoka kwa viongozi wa kisiasa hadi kwa...
Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu.
Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
Habari za saa members wote, leo kwa uchache ningependa kulizungumzia taifa kwa namna linavyo endeshwa.
Mpaka sasa ndani ya taifa letu la Tanzania taaluma nzima ya uongozi imepotea kabisa na siasa za kizandiki zimetamalaki kila pande.
Taifa hili limeshindwa kupata uongozi/viongozi kwa muda sasa...
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini Afrika ina historia ambayo ni giza tupu na imejawa majonzi, manung’uniko,jasho na damu. Historia ambayo...
Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi kwa Laporta kumebadilisha kabisa uelekeo wa mambo.
Laporta huyuhuyu ndiye aliyeiacha Barca ikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.