Wakuu
Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja.
Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo kwa vijana, wamebaki kupiga simu za kujipendekeza kwa Mwenyekiti wao wa CCM na mapambio yasiyo na...
Serikali yoyote inayoheshimu utawala wa kidemokrasia huongoza Kwa kugawa mamlaka Katika ngazi tofautitofauti. Lengo likiwa ni kumrshishia kiongozi mkuu wa nchi na serikali ambaye ndiye Rais na kiongozi mkuu wa nchi na aliyebeba dhamana ya kufikia matarajio ya wananchi anaowaongoza Katika nyanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.