Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka.
Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza kuona ni kitu kidogo lakini kina kera, kwanza tunapolipa tunatakiwa kulipa kwa kila chumba au kwa...
Kama mada ilivyo hapo juu.
Shule ya msingi Goziba ni shule ya kisiwani Goziba kilichopo katika ziwa Viktoria wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera iliyoanzishwa tangu mwaka 2003.
Mtendaji wa kata ya Goziba ndugu Magreth Peter Mashenji aliunda kikosi kazi ili kiweke mipaka kwenye shule ya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.