uongozi wa machifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Rose Marialle agawa mitungi ya gesi kwa kina mama wazee ili kuhamasisha nishati safi

    Wakuu, Katika kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma ya nishati safi ya kupikia, wanawake wazee kijiji cha Msae, kata ya Mwika Kaskazini mkoani Kilimanjaro wamewezeshwa mitungi 60 ya gesi ya kupikia ili kuondokana na uharibifu wa mazingira. Akikabidhi mitungi hiyo Februari 14, 2025 katika...
  2. Bila bila

    Nani kamdanganya Rais wetu kwamba Machifu ni viongozi wakubwa huku mikoani?

    Nimeangalia na kusikiliza maelekezo ya Rais Samia jana pale Ikulu Chamwino Kwa wanaoitwa Machifu nimebaki nashangaa. Maagizo yalitolewa kwa watu wasio na mamlaka yoyote zaidi ya familia zào maana hakuna sheria yoyote nchini inayowatambua. Nitoe mifano ya mikoa mitatu tu ninayotembelea mara Kwa...
Back
Top Bottom