Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.
Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali...
Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
Hili suala toka Azam waliweke wazi tunaona kilichotokea. Yanga waliona wamevuliwa nguo wakasusa na Uwanja wa Azam kwa hasira. lakini Si Viongozi wa Yanga wala wa TFF ambao wamewahi kulizungumzia hili hata kukanusha. Nilitegemea kwa uzito wa hili jambo la wachezaji kujidunga TFF au Yanga...
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3...
Team working (kufanyakazi kwa pamoja) hakumaanishi kusogeleana sana kimwili kati ya viongozi na watumishi wake, bali ni kiongozi kufanya na kuwepo pale unapohitajika kuwepo kwa wakati na wale wanaokuhitaji na kufanya Yale unayopaswa kufanya kwenye taasisi kwa wakati.
Viongozi wa Yanga walikuwa...
Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea.
"Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi kwa maslahi ya furaha ya wana Yanga."
"Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta...
Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea.
Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana...
Aliyekuwa Mchezaji wa Yanga Hafiz Konkoni ameshinda kesi yake ya madai dhidi ya Klabu hiyo (Yanga) akidai fidia yake baada ya kuvunjiwa mkataba, Yanga wamepokea barua ya maamuzi ya kesi hiyo kutoka FIFA Jana Oktoba 17, 2024.
Hii inakuja siku chache baada ya Mchezaji mwingine Augustine Okrah...
Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya
Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya...
Muwe na siku njema wananchi , kuna uwezekano wanaomuelewa huyu Mzee ni wale Wawili.
Mzee Juma Magoma baada ya kushindwa kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la Wadhamini la Yanga, amekata rufaa kwenye Mahakama Kuu akiendelea kutafuta haki yake.
Soma Pia...
Juma Ally Magoma ameuonya uongozi wa Yanga kuingilia kesi yake dhidi ya bodi ya wadhamini wa klabu ya Yanga akisema kitendo hicho ni hatari kwani yeye alishitaki bodi ya wadhamini ambayo sio kosa kuishitaki katika mahakama za kawaida lakini uongozi wa klabu una mahakama zake za soka.
Amesema...
Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu
Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika
Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili
Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis
swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
Mahakama imetoa hukumu kuwa Uongozi wa Yanga hauko madarakani kihalali hivyo uondoke na uchaguzi ufanyike upya kwa katiba halali ya mwaka 2011.
Ukisoma mitandaoni utaona kuwa Vijana wamekasirika hadi kutishia maisha ya wazee walioshinda kesi.
Hili ni jambo la kusikitisha sana, mbona hatuoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.