Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
Alphonce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Kulinda Ikolojia ya Hifadhi ya Mahale na Hifadhi ya Katavi amesema lengo la mradi ni kusaidia Wanyamapori kuendelea kuwepo huku Abel Mtui ambaye ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi akisisitiza umuhimu wa upatikanaji wa magari yaliyotolewa...
Wanajukwaa
Mada tajwa hapo juu inahusika moja kwa moja kwa mjadala mpana.
Ombi kwa
1. Serikali kuu
2. Makamu wa rais muungano na mazingira
3. Tamisemi
Kwanza mamlaka husika ipongezwe kwa kutumia jeshi usu kusimamia mazingira ya eneo lote lla wilaya ya Kisarawe dhidi ya wavamizi na matajiri...
WAZIRI BASHUNGWA AHIMIZA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI NA MISITU.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Watanzania kutunza uoto wa asili na misitu iliyopo nchini na kujenga tabia na msukumo binafsi wa kupanda miti.
Ametoa wito huo Oktoba 22, 2022...
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na usimamizi wa Mazingira (NEMC) Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka afanya ziara katika safu ya milima ya livingstone Wilaya ya Kyela Kata ya Matema Mkoani Mbeya na kubaini Kuna uchomaji moto katika milima hiyo na kusababisha uchafuzi mkubwa wa Mazingira...
Hapa Muhimbili kitengo cha tiba asili. CHIPE nikihudhuria semina kuhusu kongamano la ku zisema urejeshaji wa uoto wa asili katika mij hii inayokua kwa kasi, mada ikitolewa na manguli wa tasnia china ya ICLEI.
Kwa nini katika majumba yetu kila mtu asianze kupanda miti katika eneo lake ya asili...
Chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Arusha TCCIA, Kimeunga mkono jitihada zinazofanywa na halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuyaboresha maeneo yote yenye uoto wa asili ili kukuza kivutio cha utalii katika jiji la Arusha.
Akiongea wakati wa zoezi la kuboresha mazingira hayo lililoratibiwa na jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.