Miti hupunguza ongezeko la joto kwenye mzaingila yetu kwahiyo
tujitahidi angalau kila nyumba iwe na miti kulingana na ukubwa wa eneo lake
Miti hunyonya hewa chafu kwenye mazingila yetu na hutupa hewa Safi kwenye mazingila yetu
hivyo mti mmoja nyumbani kwako unathamani kubwa sana juu ya...