upandishwaji madaraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kayabwe

    Zoezi la upandishwaji Madaraja kwa walimu haliendi kwa haki

    Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke. Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza kazi miaka ya nyuma na waliguswa na usitishwaji wa upandishwaji lakini hawajaserereshwa. Sasa hili...
  2. G

    KERO Upandaji wa madaraja Singida DC viongozi wana janja janja kibao ambazo hazina tija

    Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Back
Top Bottom