upangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  2. Jioni ya leo tunakwenda kushuhudia yanga akicheza na tawi lake tusubirie mchezo mbovu na upangaji mbaya wa kikosi mechi isiyo na upinzani!

    Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
  3. Udhamini wa GSM kwenye vilabu zaidi ya 5,Je unaweza kuibeba Yanga zaidi au kuleta upangaji wa matokeo?

    Wakuu kwema! Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri na inawabeba Yanga zaidi kwa kuzingatia GSM ni Yanga na ni Mwanachama wa klabu hiyo. Lakini Pia ni...
  4. Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  5. Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  6. SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  7. SoC04 Upangaji na Upimaji Ardhi kimkakati kuepukana na Changamoto ya Makazi holela katika Miji midogo, Miji, Manispaa na Majiji

    Ukuaji wa miji kiholela nnchini Tanzania ni suala mtambuka ambalo limekua likitafutiwa muarobaini kwa muda mrefu. Kufuatia kasi ndogo ya upangaji wa matumizi ya ardhi na ujenzi wa kasi, makazi holela( makazi yasiyofata utaratibu pangwa) yamekua yakishuhudiwa sehemu tofauti tofauti. Picha ya...
  8. Stoo makazi fursa mpya ambayo inaweza kuzidi nyumba za upangaji

    Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama. Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi. Stoo...
  9. Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

    Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua. Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku...
  10. Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

    Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana. Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais...
  11. Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

    Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa...
  12. Skendo za upangaji matokeo kwenye ndondi nani awajibishwe? TPBC, Mapromota au wadamini

    Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia. Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu. Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji walioko huku Tanzania, basi tufahamu ya kuwa tayari bomba linavuja na dunia imeanza kufahamu kuwa...
  13. Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia. Mara ya kwanza kuishi wilaya ya Bunda niliishi mtaa mmoja uitwao Nyamakokoto kutokana na ugumu wa maisha kazi...
  14. Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  15. Ghana: Timu ya AshantiGold FC imeshushwa mpaka ligi daraja la pili kwa kuhusika na upangaji wa matokeo

    Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow...
  16. K

    CRB iangalie upya upangaji wa madaraja ya Wakandarasi na thamani ya kila daraja

    Ni muda mrefu sasa tangu upangaji wa madaraja ya wakandarasi ulipofanyika ikiwa na pamoja ya thamani ya kazi kwa kila daraja hivyo ni vema CRB ikapitia upya upangaji wa madaraja na thamani ya kazi zao ikichukuliwa kuwa bei ya vifaa vya ujenzi zimepanda na mafuta.
  17. TAKUKURU yabaini rushwa ya ngono kutawala katika upangaji wa vituo vya kazi vya walimu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imebaini kughubikwa na vitendo vya rushwa ya ngono katika upangaji wa vituo vya kazi kwa waajiriwa wa idara ya elimu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Sosthness Kibwengo akitoa taarifa kuhusu utendaji wa taasisi hiyo, amesema...
  18. Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya wenzetu nchi tulizopata nazo uhuru, wengi with nothing compared, kiukweli kabisa, sisi tumeachwa...
  19. K

    RC Arusha na timu yake waonesha uwezo mdogo wa kuwaza kuhusu upangaji Machinga

    Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu 1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba. 2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme. 3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani. 4. Soko la Kilombero...
  20. Baada ya wamachinga, ufuate upangaji upya wa jiji zima la Dar

    Jiji la Dar limekaa vululuvululu sana, watu wamejijengea tu nyumba bila mpangilio wa kueleweka. Ni sehemu chache sana za mji hasa za katikati ya jiji ambazo ndizo zimekaa inavyopaswa. La sivyo hizi mbwembwe za kuwafukuza wamachinga ni just a temporary solution to a permanent problem.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…