upara

Upara (Marathi: उपरा meaning outsider) is an autobiography written by Laxman Mane, a writer who lives in the state of Maharashtra, India. It is written in the Marathi language. It was first published in 1980. It has been translated into English by A. K. Kamat and titled "Upara - An Outsider". Arjuna Dangale sees it as a remarkable example of a "Dalit" autobiography. It finds mention in Encyclopaedia of Indian Literature under the genre Autobiography (Marathi). It has won the Sahitya Academy Award for the year 1981. According to Braj B. Kachru et al. it is a path breaking work in the domain of Marathi literature. The Cambridge Companion to Modern Indian Culture (2012) considers it to be a "landmark publication".

View More On Wikipedia.org
  1. Sir Bujiku Official

    Dawa za Kuotesha Nywele (Upara)

    Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
  2. Ma Mshuza

    Nadhani mmeamini, Wanaume wenye Upara wapewe maua yao kwa kweli

    Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara. Wengi wao wanatembeza sana ubooooh....nami nimeshuhudia wanakuwa na hamu balaaaaaaah....niliwahi andika nikasema...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    Kwema Wakuu! Ni Stress hapa! Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo. Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu! Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo...
  4. Uhakika Bro

    Angalizo: Mafuta ya kuotesha nywele na mafuta ya kuotesha ndevu ni vitu viwili tofauti

    Baada ya kutumia muda mwingi kutafiti [kigooglegoole] masuala ya nywele na upara na mambo yanayohusiana na hayo, basi leo nimehamishia udadisi wangu JF. Katika kupitiapitia baadhi ya nyuzi nimegundua kuna watu hasa kwa kutojua wamekuwa wakishauri vitu kuhusiana na upara katika namna...
  5. JanguKamaJangu

    Mahakama: Kumtania Mwanaume kwa upara wake ni unyanyasaji

    Mahakama Nchini Uingereza imeamua kuwa ni kinyume cha sheria kwa wanaume kutukanwa baada ya mwanaume mmoja kuwasilisha kesi Mahakamani dhidi ya muajiri wa kampuni aliyoifanyia kazi zamani. Tony Finn, 64, alifanya kazi kwa miaka 24 kama fundi wa umeme katika eneo la West Yorkshire, Uingereza...
  6. safuher

    Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

    Habari yako ndugu msomaji. Ama baada ya salamu na kumshukuru mungu naomba nianze kwa kusema kwamba MIMI NAAMINI MATATIZO YA KURITHI YANATIBIKA(hii ni imani yangu) Baada ya kusema hivi naomba niingie kwenye mada yangu ya upara ama kupoteza nywele kichwani hasa ule wa kurithi wataalamu wanauita...
  7. Delacruzito

    Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

    Habari zenu wana JF Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine...
Back
Top Bottom