Mahakama Nchini Uingereza imeamua kuwa ni kinyume cha sheria kwa wanaume kutukanwa baada ya mwanaume mmoja kuwasilisha kesi Mahakamani dhidi ya muajiri wa kampuni aliyoifanyia kazi zamani.
Tony Finn, 64, alifanya kazi kwa miaka 24 kama fundi wa umeme katika eneo la West Yorkshire, Uingereza...