Ndugu zangu,
Yawezekana kuna mtu ulimfanyia kosa kubwa na ukashindwa kumuomba msahama moja kwa moja au kukiri kwake, basi jukwaaa hili ni kwa ajili yako, sema hapa hata kama hataona lakini angalau utakua umetoa dukuduku moyoni.
Kuna wale ambao wana mambo mengi katika vifua vyao na hawajawahi...