Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/)
Wizara ya Madini wanataka tusipate access ya taarifa ya msingi hizi tena au kuna changamoto ya mfumo wa TEHAMA kwao...