upatikanaji wa mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia changamoto ya upatikanaji wa mafuta duniani kama fursa muhimu ya kuelekea kwenye uzalishaji na matumizi ya gesi asilia

    Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta yameadimika Chato. Nimetembea kwa miguu kuanzia Chato mpaka Buseresere

    Hali ni mbaya sana. Hakuna mafuta kabisa ya kuendeshea vyombo vya moto. Nina hela mfukoni lakini magari hayana mafuta. Wateja wangu wa Kangala waliniambia nikahemee Ambiace Buseresere. Lakini hakuna usafiri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…