Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao...