Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana.
Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya upande mmoja wa muungano kuliko upande mwingine, kwa sasa ni jambo la kawaida kwa vyombo vyetu vikubwa...