upendo bila chuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Madhara ya kutaka kupendwa na kumridhisha kila mtu

    Mtu ambaye anaweza kuumizwa sana ni yule ambaye kipaumbele chake namba moja ni kupendwa sana na kukubaliwa na kila mtu.Unapotaka kumfurahisha au kumridhisha kila mtu ni wazi kwamba unakua haujui targeted audience wako ni akina nani, vilevile unakuwa haujui mlengwa wa kazi zako ni nani. ni...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Ili niupate mwisho mwema nimeamua kuwasamehe wote walionifanyia ubaya

    Wakuu nimeamua kusamehe kwa sababu sijui atakaenizika nimewasamehe wabaya wangu lakini nisingependa ukaribu nao, tukikutana tusalimiane tu kwa bashasha lakini sitaki ukaribu nao.
  3. M

    Nimenuniwa na mpenzi wangu

    Hello JF, Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi...
  4. realMamy

    Umemsave kwa jina gani Mpenzi/Mke/Mume kwenye simu yako?

    Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda. Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao. Mimi nime msave 💖 wewe je, umemuandika vipi?
  5. feyzal

    Mapenzi yalivyonibadilisha na kuwa mkatili na roho ya ajabu

    Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa funzo kwa vijana wa leo. Hapa sitataja majina halisi ya wahusika na nitaeleza direct lengo tu. "Wewe ni...
  6. fakhbros

    Usimhukumu adui yako, huenda yeye ndio sababu ya uwepo wako

    Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi. Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
  7. puker

    Kuna aina ya watu humu Duniani nawachukia sana😠

    Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada husika, Kuna aina ya watu sijui roho zao zikoje, tuseme ndio roho mbaya au vipi. Nafahamu tumetofautiana tabia na mienendo kutokana na makuzi na mazingira tuliyokulia. Kuna aina ya watu wakikupa kazi. Let say ufundi wa aina Fulani, au...
  8. C

    Kama unayo nafasi saidia sana yatima na wajane kwa namna yeyote ile, utakuja kunishukuru

    Wana jamii nadhani mko poa. Leo kuna nataka kusema maneno machache sana yenye faida kubwa sana. Ndugu zangu kama tunatafuta furaha za kweli hapa duniani ebu tujaribu kusaidia wasio jiweza kwa namna yeyote ile iwayo kwani kufanya hivyo kuna manufaaa kwako ww unaesaidia licha ya yule unaemsaidia...
  9. Selemani Sele

    I miss my Mama kama umemmiss Mama ako show love

    Its been Ten years since you left me, i real miss you uliniambia every thing that happens has a meaning just follow the sound of God maana ndo tegemeo lako pekee duniani. Pia, ulisema sio kila rafiki anakuja kwa urafiki kwako wengine wanakuja kukuangamiza na nimewaona na kuwadhibiti. Mama i...
  10. realMamy

    Utafanya nini endapo utagundua kuwa umeingia kwenye ndoa na mtu ambaye si sahihi?

    Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani. Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa. Kama ilivyo ndoa za Kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe...
  11. M

    Mwanamke anaweza kumpima Mwanaume kama anampenda kwa kutumia vigezo gani?

    Mwanamke anaweza kumpima mwanaume kwamba anampenda kwakutumia vigezo gani? Naombeni wataalam mnieleze hii imekaaje.
  12. Half american

    Tuishi upendo tunaofundishwa kwenye imani zetu ili tuwe vielelezo bora vya imani zetu

    Lengo la dini ni kuhamasisha waumini wake kuishi maisha ya upendo na yenye nidhamu kwenye jamii. Tunafundishwa kutambua yapi ya kufanya (mema) na yapi ya kutokufanya (mabaya yenye machukizo kwetu na kwa Mwenyezi Mungu). Inashangaza sana watu wenye utashi wa kutambua mema na mabaya wanafanya...
Back
Top Bottom