Good morning to all parents,
Straight to the point, wazazi wenzangu nawasihi sana tuwapende sana watoto wetu katika hali yeyote ile.
Tukiwa na fedha ama fukara, kitu pekee ambacho mtoto anahitaji zaidi kutoka kwa wazazi/mzazi ni upendo. Hayo mengine yote Mungu hubariki na huyafanya kwa wakati...