Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.
Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua...