Habari wadau,kuna couple ukiingalia yani haiendani kabisa na uharisia yani unakuta jama ana sura ngumu ila anamiliki chombo moja ya hatari.
Watu wengi wenye pesa hujikuta wakimiliki mademu ambao hawaendani nao kabisa yani kama we ni mchizi fulani handsome unakuta demu wa jamaa anakuelewa ile...
Ndugu,
Usitakee kupendwa na kila mtu. Ndugu zakoo marafikii zakoo ukionaaa hawakupendwi ujue mafanikio yako yako karibu.
Wengi waliopendwa wakitaka kupendwa waliolazimishwa kupendwa na ndugu marafiki leo wanateseka.
Kwenye chuki ndio kuna upendoo. Yule anaekuchukia usimchukie mpende ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.