upendo peneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Pre GE2025 Upendo Peneza: Hata sasa kupitia Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA naahidi kuwatumikia!

    Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko CHADEMA ataendelea kuwatumikia. Pia soma: Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo? Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa.
  2. Tulimumu

    Pre GE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza ni watumwa wa kisiasa

    Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea...
  3. mdukuzi

    Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  4. Tulimumu

    Pre GE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza wajifunze kutoka kwa Hayati Edward Lowassa

    Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni. Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
  5. Jaji Mfawidhi

    Pre GE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

    Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 2015-2020 Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea...
  6. chiembe

    Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

    Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema...
  7. Tindo

    Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani. === Video: Mwananchi
  8. J

    Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa...
  9. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

    Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa... "Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona...
  10. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii...
  11. chiembe

    Taifa limechelewa sana kumtumia Upendo Peneza, anafaa kuwa Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya, au mtaalamu mkubwa sana serikalini au balozi

    Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka. Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana. Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi...
  12. Nigrastratatract nerve

    Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi. Safari hii haijaanza...
  13. J

    Upendo Peneza: Usitegemee kamati ya LAAC kutenda Haki kwenye Ripoti ya CAG kwa sababu Halima Mdee yuko bungeni Kimchongo!

    Aliyekuwa mbunge wa viti Maalum Upendo Peneza amesema katika kushughulikia ripoti ya CAG hana Imani na Mwenyekiti wa LAAC na yule wa PAC kwa sababu wako bungeni kinyume cha Katiba. Peneza amesema Mdee hawezi kuikagua Serikal inayomfanya awepo bungeni hadi leo. Source: Star tv The Big Agenda.
Back
Top Bottom