upendo wa familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The25824

    Tuliowapoteza mama zetu ,tunawasihi sana muwapende wa kwenu kama bado wako hai

    Habari, Kwenye haya maisha, kama bado una mama yuko hai na unaweza kumtafuta kwa simu nakusihi sana usiache kufanya Hivyo. Ikitokea ni zaidi ya mtoto mmoja, usiamini kila mmoja ana jukumu la kumuangalia mama katika familia yenu, hivyo umuhudumie au usimuhudumie wengine nao watamuhudumia...
  2. Selemani Sele

    I miss my Mama kama umemmiss Mama ako show love

    Its been Ten years since you left me, i real miss you uliniambia every thing that happens has a meaning just follow the sound of God maana ndo tegemeo lako pekee duniani. Pia, ulisema sio kila rafiki anakuja kwa urafiki kwako wengine wanakuja kukuangamiza na nimewaona na kuwadhibiti. Mama i...
  3. Dkt. Gwajima D

    Heri ya Siku ya Familia Duniani

    Wasalaam, Ile siku ni Leo tarehe 15 Mei, 2024. Kila mkoa unaadhimisha na wilaya zake na kata zake na vijiji vyake. Vyombo vya habari vinapaza sauti. Ukiona kimya uliko, basi kuna mtu hajatimiza tu wajibu wake wa kupaza sauti au wa kusikiliza sauti iliyopazwa. Sisi tuko Dodoma, Viwanja vya...
Back
Top Bottom