Leo tutumie platform hii kutambua, kuthamini na kuheshimu majasho ya mama zetu katika kutuandalia maisha yetu ya leo.
Binafsi naheshimu na kutambua thamani za Baba zetu katika kutufanya kuwa tulivyo na nitaleta uzi wa kutambua thamani yao ila leo naomba tutambue harakati za mama zetu katika...
Habari,
Kwenye haya maisha, kama bado una mama yuko hai na unaweza kumtafuta kwa simu nakusihi sana usiache kufanya Hivyo.
Ikitokea ni zaidi ya mtoto mmoja, usiamini kila mmoja ana jukumu la kumuangalia mama katika familia yenu, hivyo umuhudumie au usimuhudumie wengine nao watamuhudumia...
Its been Ten years since you left me, i real miss you uliniambia every thing that happens has a meaning just follow the sound of God maana ndo tegemeo lako pekee duniani.
Pia, ulisema sio kila rafiki anakuja kwa urafiki kwako wengine wanakuja kukuangamiza na nimewaona na kuwadhibiti.
Mama i...
Habari wana Jf, poleni na majukumu ya kazi.
Leo tufunguke ni visanga gani ambavyo uliwahi kuvipata na ukweli ulifanya lakini kwa namna fulani mama yako akasimama mbele yako na kukutetea kwa nguvu zake zote. [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Funguka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.