Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design:
Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability.
Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan...