Wachina wanaomiliki mashine za kamari (slot machine) maarufu kama 'dubwi' au 'bonanza' wanakusanya kiasi kikubwa cha fedha lakini wanalipa kodi ya Sh 100,000 tu kila mwezi.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa, kutokana na kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, hasa katika sarafu za Sh...
Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto
Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?
Ramadhan kareem!
cc: Mchungaji Msigwa Chadema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.