Hii nchi Data zinapikwa vibaya mno na sijui.kama kuna Taifa Data zinapikwa kama Tanzania na mbaya Kiongozi haoni aibu kusimama na kusoma Data ambazo yeye mwenyewe anajua fika ni za kupikwa.
Waziri mkuu anadai nchi ina jitosheleza kwa Chakula kwa asilimia 115 na ina ziada nyingine zaidi ya Tani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.