Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi.
Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo kipindi hicho kilikuwa kinaitwa Kijiji cha Liganga, tulilitumia eneo hilo kwa ajili ya kufanya kilimo...
Ni vyema vijiji vipimwe na kufanyiwa tathimini kama ardhi yake inafaa Kwa makazi na shughuli za kibinadamu,Kuna baadhi ya maeneo watu wanaishi kwenye mabonde au karibu na Kingo za mito,Kuna maeneo ambayo kimsingi hayafai Kwa ajili ya makazi lakini mamlaka zipo kimya.Tusingojee mpaka majanga...
Mimi nina nyumba Chanika jirani yangu anasema nimeingia kwake upana wa nyumba yangu 45 mt lakini nikipima ni 42 mt bado anasema nimejenga kwake. Je, utaratibu upoje wa kupata watu wa ardhi waje wapime watuwekee becon kila mmoja ajue mipaka yake na gharama ngapi? Mwenye kujua naomba anafafanulie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.