NI vyema kupima oil ya GARI lako kabla ya kuanza safari.
Na muda mzuri wa kupima oil nI pale gari lako linapokuwa limepaki kwa muda kufikia oil yote kushuka na kupoa hasa asubuhi unapoamka kwa sababu oil na engine vyote vinakuwa vimepoa kabisa.
Saizi salama ya Oil ya gari lako unapoipima ni...