Muungano wa vyama vinavyomuunga mkono Rais Patrice Talon umechukua udhibiti kamili wa Bunge la Taifa la Benin baada ya uchaguzi wa wabunge, kwa mujibu wa matokeo ya awali. Tume ya Uchaguzi ilisema kuwa kati ya vyama vitano vilivyoshiriki uchaguzi wa Januari 11, 2026, ni Progressive Union for...