Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya
Upinzani dhaifu
Kutekwa watu hovyo
Rushwa kila kona
Kupotea kwa watu
Mauaji bila sababu
Viongozi walarushwa
Viongozi wazembe
Viongozi mafisadi
Jamii ya kichawa
Huduma za kijamii mbovu
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Nchi yetu ilianza kuharibika sana kuanzia pale mifumo ya wezi na watawala walipoamua kuhakikisha Tanzania haina mbunge hata mmoja wa upinzani bungeni.
Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2015 tuliona angalau fedha za umma zikizingatiwa na kutumika kuleta maendeleo. Angalau tukaanza kuona barabara...
AFRIKA KUSINI: Rais wa zamani na Kiongozi wa chama kipya cha uMkhonto weSizwe (MK), Jacob Zuma amesema chama chake kitaungana na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kupinga Ushirikiano wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya Chama Tawala cha ANC
Zuma ameendelea na msimamo kuwa Uchaguzi Mkuu wa...
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni
1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea
2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo
3. Bunge kufatiliwa na watu wengi imepungua sana
4. Mawaziri kutumia muda mwingi kusoma na kupitia maendeleo ya wizara zao kwani...