Uwanja wa siasa kokote pale duniani haujawahi kuwa uwanja wepesi. Siku zote, mtawaliwa anaitamania nafasi ya mtawala, wakati mtawala anajiimarisha kila leo nafasi yake isichukuliwe na mtawaliwa (Power Struggle).
Kwa miaka yote tangu kuumbwa kwa dunia hayo ndio yamekuwa maisha ya mwanadamu...