Ni kwasababu hawana mipango na sera zinazogusa mahitaji muhimu ya kila siku ya wanainchi?
Ni kwasababu ya ubinafsi, uchu na tamaa za vyeo na madaraka walionao, kiasi kwamba hawana muda wala haja ya kupambania changamoto za wananchi bali, wana nguvu sana kupambania masuala yanayohusu pesa...
Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini?
Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
My friends, ladies and gentlemen,
Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amedai kuwa viongozi wengi wa vyama vya upinzani nchini si wa kweli na wanatumia nafasi zao kama chanzo cha kipato badala ya kutetea maslahi ya wananchi.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Jambo TV, Musiba amesema vyama vya upinzani vimegeuka kuwa ajira kwa...
Chonde chonde wanaCCM wenzangu. Tusibweteke na anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Tukumbuke kuna uwezekano wa vyama 14 kuleta upinzani mkali kuliko uliokuwa kwa CHADEMA. Binafsi nakihofia sana UPDP ya kina Fahmi Dovutwa.
Tunachotakiwa kufurahia ni CHADEMA kutusaidia...
Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini
Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea...
Hawaaminiki tena, hawaeleweki kabisa kwa wananchi, wamekosa na kupoteza uelekeo, ushawishi wa kisera na mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa. Kanuni, sheria na katiba viko wazi kabisa kuhusu uchaguzi huu, lakini wanalilia hisani na kutegemea huruma za wananchi.
Walianza kusita...
Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha
Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini.
Uwepo wa vyama vya upinzani nchini ni muhimu sana Kwa kuwa serikali inabidi ipokee mawazo mbadala Kwa lengo la...
Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
Ni muhimu sana wakafanya tafiti za kutosha na kuibua sera, mipango mikakati, na uelekeo mahususi utakao washawishi wananchi wengi zaidi na kukonga nyoyo zao, na hapo ndipo watakua na maana, uhalali na nguvu ya kupambania wananchi.
Na sio kukurupuka kama ilivyo sasa kwa mfano kama Chama cha...
Yaani mguu nje, mguu ndani, wakati wowote mwenye nyumba anatoa notice ya mtu kutimuliwa pangoni na wakati wowote vile vile uzalendo unamshinda mpangaji anaondoka anahamia kwingineko.
Ni kirusi gani sijui kimewatembelea hawa majamaa huko kwe vyama vyao? kila uchwao miongoni mwao ni kutuhumiana...
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...
Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni...
Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM.
Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k
hali hii imewapunguza...
Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku.
Hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja, sera, nia wala mikakati mbadala ya...
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira...
Katika mazingira ya kisiasa, uwepo wa vyama vingi vya siasa ni ishara ya demokrasia na uhuru wa kisiasa. Hata hivyo, idadi kubwa ya vyama vya siasa inaweza kuleta changamoto za kiutendaji na kisiasa. Kwa mantiki hiyo, kupunguza idadi ya vyama vya siasa na kuwa na vyama vikuu viwili vinaweza...