Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake.
Dkt. Besigye ambaye alikuwa daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni alikamatwa tangu Novemba mwaka jana, na...