Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu.
Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza kuepukika kwa kushughulikia vizuri magonjwa yanayoweza kudumaza afya ya macho mfano kisukari na...