Wadau habari ya muda Mimi ni kijana wa miaka 24 Niko hapa kuomba ushauri wenu na mawazo pia.
Kimuonekano Mimi ni mrefu Nina urefu wa cm 187 pia Mimi ni mkimya sasa baada ya kumaliza masomo yangu nimerudi nyumbani kwanza ili kuweka Mambo yangu sawa sasa Kuna mama mmoja ana cheo serekalini na...
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani
https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu!
Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa.
Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakari…
Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini.
Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I
Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
Ni duka langu jipya nililofungua mwezi wa tatu, kwakuwa mimi ni muajiriwa niliona nitafute binti awe anakaa hapo, mimi tunawasiaana nae ila napitiaga baadhi za siku jioni na weekend.
Binti ana miaka 23, mama yangu mdogo ndie alienisaidia kumpata maana ni majirani, ni binti ambae sikudhania...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023.
Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
Anaweza kuwa amechoka, amesusa, amenuna, amekasirika, amekwazika, ana kinyongo, anaumwa, ana msongo wa mawazo. Si unajua mabinti na vijana wa siku hizi wana mambo mengi? Si unajua siku hizi maisha yanaenda kasi? Kwahyo yeye akikasirika, akinuna, akisusa, wewe jaribu upole.
Najua unamuona yupo...
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?
3. Hawa...
Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji akaonana na Tundu Lissu wakati ambao wapo wana CCM wengi tu wasingependa kumuona akijishusha (kwa mujibu wa...
Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi...
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto
1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana...
Hakuna asiyejua kwamba Wasukuma ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi.
Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida).
Hizi choko choko dhidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana...
Habari wanajamvi..!
Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni.
Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu.
Mambo yanayopelekewa kutimuliwa
1. Tabia mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.