Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia hayo. Nakuonyesha hapa jinsi ya kufanya ili uone ahadi za Mungu zikitimia katika maisha yako. Kiri...
Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa
Uponyaji ni nini
Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo.
Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
Katika jamii ya kisasa, ambapo maendeleo ya sayansi na teknolojia yanazidi kuimarika, kuna wachungaji na viongozi wa dini ambao wanadai uwezo wa kufanya miujiza, ikiwa ni pamoja na kuponya magonjwa makubwa na matatizo mengine ya kiafya.
Wachungaji hawa mara nyingi hutumia majina ya Mungu au...
Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye.
Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
Aina za Uponyaji wa Kiroho
Uponyaji ni nini
Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima wa kiroho na afya ya kimwili pale ilipopunguka. Wengi...
Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.