uponyaji wa yesu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jitwangabalogi

    Wakati sahihi wa kuondolewa aibu yako.

    Tunayo furaha kuwaalika kwenye kongamano maalum kati ya tarehe 27 na 28 September, 2024. Kongamano hili litaongozwa na Apostle Luciana,(Mbezi Beach_Bondeni) kuanzia saa nane Kamili mchana. Mnakaribishwa wote,,,Na usisite kuwafikishia habari hizi njema watu wote! #Shukrani#
  2. U

    Inadaiwa Lazaro hakufa bali alipewa dawa akalala usingizi mzito, baada ya saa 72 akaziduka huku Yesu akija na kudai kumfufua

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni madai mapya kuyasikia japo yamekuwepo kwa Karne nyingi Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa! Wanadai kuwa Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo...
Back
Top Bottom