Familia ya marehemu Mahmoud Ally Hamad Bwato, imeomba msaada kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili iweze kupata hati ya kiwanja chao namba 186039/95, kilichopo Ada Estate, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waadishi wa habari Novemba 25...