upotoshaji wa taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    Upotoshaji wa Taarifa katika soka msimu wa usajili

    Upotoshaji wa taarifa kwenye soka hufanyika zaidi wakati wa msimu wa usajili. Kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka hufuatilia kujua Wachezaji wanakuja na kuondoka kwenye timu zao, wapotoshaji hutengeneza #taarifapotofu kwa makusudi ili kupata wafuasi kwenye kurasa zao au kuibua taharuki. Kwa...
  2. JamiiCheck

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuchukua tukio la zamani na kulifanya lionekane la sasa

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuleta tukio la lililotokea zamani na kulitangaza au kuliunda ili lionekane kama limetokea leo. Wapotoshaji huweza kutumia mbinu hii kwa namna mbalimbali. Katika mjadala huu tutagusia mbinu tatu zifuatazo: Kubadilisha Tarehe au Muktadha: Mtu anaweza...
  3. JamiiCheck

    Upotoshaji wa Taarifa na Athari Zake kwa Haki katika Jamii

    Taarifa sahihi ni msingi muhimu katika kuhakikisha haki zinapatikana katika jamii zetu. Hata hivyo, upotoshaji wa taarifa ni tatizo linaloweza kusababisha ukosefu wa haki kwa baadhi ya watu. Mathalani, katika vyombo vya utoaji haki kama Mahakama, taarifa potofu zinaweza kupelekea kutoa hukumu...
  4. JamiiCheck

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanya kupitia kutengeneza nukuu potoshi za watu maarufu

    Mitandao ya kijamii imejaa nukuu za Wataalamu na watu maarufu mbalimbali kutoka katika nyanja mbalimbali. Watu wanaweza kupotosha taarifa kwa kutengeneza nukuu zisizo za kweli au kuzibadilisha nukuu za watu fulani ili zifanane na mtazamo wao au kusudi lao. Wapotoshaji huzitengeneza na kudai...
  5. JamiiCheck

    Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia (Wanawake)

    Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia kwa njia kadhaa: Kueneza Habari Potofu Kuhusu Wagombea wa Kike: Wakati mwingine, habari potofu zinaweza kutolewa kuhusu wagombea wa kike ili kuwaharibia sifa zao au kuwadhalilisha. Hii inaweza kujumuisha kusambaza...
  6. JamiiCheck

    Afya ya Umma inaweza kudhoofishwa na uwepo wa Taarifa Potofu

    Taarifa potofu kwenye afya zinaweza kuwa na athari mbaya kwa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Watu wanaweza kufanya maamuzi mabaya ya kiafya ikiwa wanapata taarifa potofu. Wanaweza kujitibu kwa njia isiyo sahihi au kuepuka matibabu ya kisasa kwa kuzingatia habari isiyo sahihi. Mathlanani...
Back
Top Bottom