Katika siasa za ushindani kama ilivyo ushindani holela wa soko huria kumeibuka upotoshwaji mkubwa wa kutumia fikra za Mwalimu Nyerere nyingi na hapa nitajikita katika dhana ya “UHURU”.
Kwa makusudi katika mchakato wa kuwa makuhadi wa soko huria, na pengine pia wapinzani kutokuwa na falsafa ...