upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

    Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu. Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
  2. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia alishambulia gazeti za Raia mwema, adai linaongoza kwa upotoshaji nchini

    Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote. Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

    Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri...
  4. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Usiwe sehemu ya upotoshaji kuhusu COVID-19 na Chanjo

    Cha kusikitisha ni kwamba, kuna habari nyingi zisizo sahihi mtandaoni kuhusu virusi vya COVID-19 na chanjo. Habari potofu wakati wa janga la kiafya zinaweza kueneza hali ya wasiwasi, hofu na unyanyapaa. Inaweza pia kusababisha watu kuachwa bila ulinzi (kinga) hivyo kuwa kusababisha dhaifu dhidi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kipanya na Katuni hii, aliona Mbali

    Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

    Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache. Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  9. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa waongezeka kuelekea Uchaguzi nchini Ujerumani

    Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji wa taarifa. Ripoti ya Taasisi hiyo imemtaja mgombea wa Chama cha Green, Annalena Baerbock kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita. Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

    Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious. Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji kuhusu chanjo ya Corona

    Kuna "misconceptions" nyingi kuhusu chanjo ya Covid19. Baadhi za kitabibu na nyingine za elimu ya tabia. Zile za kitabibu nawaachia madaktari na wataalamu wa afya wazijibie. Mimi najibu hizi ambazo ni Socio-Cultural infuenced. 1. Chanjo ya Corona ni mpango wa wazungu kutuua? JIBU: Wazungu...
  14. JamiiForums Tanzania Haonga aombe radhi kwa upotoshaji kodi za Mbolea; Rais amesema Corona ndo chanzo cha kupanda bei ya Mbolea

    Leo wakati wa hotuba yake baada ya kuapisha mabalozi Mh Rais alijaribu kuhusiana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini , jambo ambalo linaonekana wazi kuwa litaleta athari sana katika suala letu la chakula hapo mwakani. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kupanda kwa bei ya mbolea nchini kumetokana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  16. JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uwekwe wazi wananchi tuusome kuepusha upotoshaji unaoweza kufanyika

    Habari ya leo wakuu, Imani yangu nyote ni wazima, kwa wasio wazima InshaAllah Allah awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye hoja. Naomba mkataba na project proposal ya ujenzi wa bandari ya kisasa ya Bagamoyo uwekwe wazi ili Watanzania wenye uwezo wausome, uchambuliwe pro and cons zake zote...
  17. JamiiForums Tanzania Neno "Mwendazake" na upotoshaji wa kikanuni unaoendelea sasa

    LOGIC: "Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani." 1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani? 2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani? 3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa atoa ufafanuzi upotoshaji wa wapinzani kuhusu takwimu za ajira

    Uzushi huu hapa: Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa nyakati tofauti huku vikionesha mkakanganyiko kuhusu jumla ya watu watakaoajiriwa na Serikali. - Kibango...
  19. JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG juu ya kutohuisha upembuzi yakinifu mradi wa JNHPP ni upotoshaji mkubwa, kuna uwezekano CAG anatumika kisiasa

    Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli. Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…