upumuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhakika Bro

    SoC04 Je, ikiwa taifa linachohitaji kiukweli ni kupumua? Tanzania inayopumua ipasavyo

    Mimi siyo mhubiri, ni mtafiti. Lakini naijua kanuni, na kanuni hiyo rafiki yangu, ni Neno la Mungu. Bwana MUNGU aiambia mifupa hivi; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. (1) "Mwenyezi Mungu Amtakaye kumwongoza hukifungua kifua chake kwa kunyenyekea. Na amtakaye kumpoteza hukifanya...
  2. Pdidy

    Kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji China

    NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu Mungu tusaidie
  3. BARD AI

    Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  4. BARD AI

    Papa Francis alazwa Hospitali kutokana na matatizo ya upumuaji

    Taarifa kutoka Vatican zimeeleza kuwa Papa alianza kupata shida ya kupumua na kukimbizwa Hospitali kwaajili ya vipimo lakini Madaktari wameshauri abaki kwa uangalizi zaidi. Kwa mujibuwa taarifa, Papa amelazwa katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha The Gemelli mjini Roma, ambako atahitajika kukaa...
  5. M

    Tumeshamaliza Sensa ya 'Mibichwa' yetu, na sasa Sensa hizi zinafuata ili Watanzania tuanze kuwekewa Tozo mpaka ya huu Upumuaji Wetu

    Ya Watu ( Mibichwa ) yetu inamalizika rasmi ( Kikanuni ) leo na leo hii hii tena inaanza ya Nyumba zetu ( zenu ) na baada ya hapo jiandaeni kwa Sensa za haya yafuatayo..... 1. Sensa ya Walio na Akili na Wasionazo 2. Sensa ya Wanaotumia Condoms na Sisi Wazee wa Kugongesha Besela ( Tulioapa...
  6. K

    #COVID19 Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

    Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu. Natoa rai kwa Serikali...
  7. Idugunde

    Mwongozo wa kutibu mfumo wa upumuaji unaadaliwa. Je, ni ugonjwa gani?

    Kwa mujibu wa chama cha madaktari nchini MAT kimeandaa jopo la madaktari bingwa ili kutoa mwongozo namna wagonjwa wanaoumwa mfumo wa kupumua wapate tiba ya namna gani. Kwa mujibu wa Dk Mwaibambe ni kuwa mwongozo huo utaelekeza ni dawa zipi ambazo mgojwa aliyeathirka mfumo wa kupumua...
  8. B

    Hospitali za serikali zimewekeza kuokoa wenye changamoto ya upumuaji?

    Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko. Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu yaani kuwa na hospitali zenye hadhi. Moja tatizo la sasa ni changamoto ya upumuaji. Je, tupo imara...
  9. J

    Jikinge na magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji kwa kuvaa barakoa

    Mfano ya wakati barakoa inahitajika kuvaliwa: Unapotembelea duka, duka la dawa, Daktari au Hospitali yoyote Katika mkusanyiko, unapokutana pamoja na marafiki au familia ambao hawaishi nawe Katika tukio lolote la umma ndani au nje ya jengo, kama vile soko au mkusanyiko Unaposafiri kwenye...
  10. D

    Nadharia ya Makadirio ya ukubwa wa changamoto ya upumuaji ukiiweka kitakwimu ili uone ukubwa wa tatizo uchukue hatua

    Wakati mwingine Saikolojia inashauri kwamba! Ili ufanikiwe kujikinga na jambo lazima ulikadirie ukubwa wake! (Assuming and assumption theory) Mtu anaekata mti ili abaki salama ni lazima awe anafahamu vyema kukadiria madhara ya mti au tawi analokata litakavyoanguka! Kumekuwepo na ongezeko...
  11. S

    Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

    By Mchambuzi kupitia Twitter: TANZIA 👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile Tafadhali tuchukueni hatua. Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama.
  12. Cannabis

    Ukiugua maradhi ya mfumo wa upumuaji zingatia haya

    Watu wanaougua maradhi ya mfumo wa upumuaji ikiwemo nimonia, wameshauriwa kufuata taratibu za namna ya upumuaji na staili za kulala kama sehemu ya tiba mazoezi ili kupona haraka. Mazoezi hayo yanayohusisha namna ya kukaa, kulala na kupumua ambayo yametajwa kusaidia uondoshaji wa maji na...
  13. S

    Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

    By Boniface Jacob kupitia Twitter: Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha. Sikuwahi Kujua Ipo Siku sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA. Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili...
  14. M

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  15. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini wana-michezo hawafi kwa changamoto za upumuaji?

    Tangu kuanza kwa sakata la Corona mwaka jana, tumeshuhudia wazee na hata baadhi ya wasio wazee sana wakifariki kwa kile kinachohisiwa kuwa ni ‘changamoto ya upumuaji ’. Hivyo basi, kama kinga ya changamoto hizi ni kufanya mazoezi, nadhani badala ya kung’ang’ania serikali ichukue hatua za kiweka...
  16. J

    Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji

    Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na...
  17. LESIRIAMU

    Zacharia Isaay (Mbunge Mbulu): Serikali iache kigugumizi ieleze wazi kuhusu ugonjwa wa kupumua unaomaliza watu wa Mbulu

    Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu. Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora...
Back
Top Bottom