Upungufu wa damu (Anemia) wakati wa ujauzito ni tatizo linalo wapata wanawake wengi.
Tatizo hili huwaongezea hali ya kujisikia uchovu, kupauka kwa rangi ya ngozi, maumivu ya kichwa pamoja na kuongezeka kwa mapigo ya moyo. Aidha, huongeza nafasi ya kujifungua mtoto mwenye uzito mdogo, kujifungua...