Wakuu habari zenu.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.
Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu...
Kwa takriban mwaka mmoja sasa nchi nyingi za Afrika zimeendelea kukabiliwa na upungufu wa fedha za kigeni, hasa dola, fedha zinazotumika katika uagizaji wa bidhaa mbalimbali.
Sababu kubwa zinazotajwa na wataalamu ni kubadilika kwa sera za kifedha nchini Marekani, pamoja na kuongezeka kwa...
Serikali inapaswa kuanzisha matumizi ya vyanzo mbadala vya nishati, kama vile gesi asilia. Kuanzia kwenye magari yote ya serikali, kutekeleza matumizi ya Gesi ya Asilia Iliyosindikwa (CNG) kutapunguza matumizi makubwa ya fedha za kigeni zinazotumika kuagiza mafuta. Hatua hii inaweza kusababisha...
Jumanne, Agosti 22, 2023
Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27.
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini, kwa sababu vigogo wa serikali wanashindana kutorosha pesa kupeleka nchi za nje.
Wanaiba kwa...
Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake.
Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.