Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji.
Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
Utangulizi
Katika jiji la Dar es Salaam, uhaba wa maji umekuwa tatizo kubwa kwa muda mrefu. Wakazi wa jiji hilo wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa maji safi na salama kutokana na mji huo kuwa jirani na Bahari ya Hindi na eneo la chini ya ardhi kuwa na maji ya chumvi. Hali hii imesababisha sehemu...
Afu tunasema kuna usalama wa Taifa au wa chadema
Mpaka ukuta huu unaisha serikali ipo wapi?
Kuna maeneo lukuki Hali Ipo hivi hivi afu mnasingizia ng'ombe wamekuwa wengi.
Serikali ya mama ni dhaifu kweli kweli msitufanye watoto wadogo.
Pamoja na kubezwa elimu yake Joseph Musukuma ni mbunge anajiamini na hutoa ya moyoni na wahusika kama ni kushupaza shingo washupaze lakini ujumbe unawafikia mojakwamoja.
==========
Mheshimiwa mwenyekiti nitazungumza maswala yanayohusu na TANESCO peke yake. Mimi natokea vijijini ukifika...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kutokana na kuchelewa kwa mvua za vuli maji katika mto Ruvu yamepungua na kusababisha upungufu wa lita milioni 70 sawa na 26%
Makalla amewataka wakazi wa jiji la Dar es salaam kutumia maji kwa uangalifu wakati tukisubiri mvua zitakazojaza mto...
Wiki mbili mfululizo sasa kumekuwepo na kelele nyingi kila kona ya nchi kuhusu upungufu na mgao ya maji katika miji na majiji.
Katika maeneo ya vijijini sehemu nyingi za nchi maji limekuwa tatizo kubwa toka nchi hii inapata uhuru lakini hatujawahi kusikia kelele na mayowe kama wiki hizi mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.